Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi: Mnamtaka Morisson ? mtamuona Uwanjani

Nabi Morisson Nabi: Mnamtaka Morisson ? mtamuona Uwanjani

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema katika mchezo dhidi ya TP Mazembe atamtumia winga wake Bernard Morisson ambae amekuwa nje ya Uwanja kwa kipindi kirefu.

Akizungumza Kocha Nabi amesema;

“Mwanzo Morrison sikumtumia kwa kuwa alikuwa na programu maalum ya kujiweka sawa, pia kulikuwa na watu wameingia kwenye mfumo na ukizingatia tulikuwa tunatafuta kufuzu Robo fainali, ila kwa sasa anaweza kuanza kucheza na mtamuona.”

Yanga wana mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe April 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live