Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi Kocha Bora wa Mwezi

Nabi Le Proffeser Kocha Nabi

Sun, 13 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.

Nabi raia wa Tunisia amewashinda Mubiru Abdallah wa Mbeya City na Thiery Hitimana wa KMC alioingia nao fainali.

Yanga SC kwa mwezi Oktoba:-

✅ 2-1 vs Ruvu Shooting (A)

✅ 1-0 vs KMC (H)

✅ 1-0 vs Geita Gold (A)

✅ 1-1 vs Simba SC (H)



Sixtus Sabilo wa Mbeya City, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba 2022 katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live