Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NGAOYAJAMII: Hivi hapa vikosi Yanga vs Simba vinavyoanza mchezo wa leo

Chama X Nzengeli.jpeg Vikosi vya Yanga vs Simba Ngao ya Jamii leo

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: Tanzania

Hayawi hayawi, hatimae yamekuwa. Dabi ya Kariakoo ndani ya Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga inakwenda kuanza muda mchache kutoka sasa.

Ni Fainali ya Ngao ya Jamii 2023, ambapo wanakutana watani wa Jadi Simba na Yanga katika mcheozo ulioteka hisia za wengi.

Kila timu imetamba kumtandika mwenzake kutokana na ubora wa kikosi ilichonacho lakini dakika ndizo zitakazoamua mbabe.

Wakati Simba wakipata pengo kwa mlinzi wao Henock Inonga, Yanga wanamkosa winga wao Skudu Makudubela

Hivi hapa vikosi vya timu zote mbili vinavyoanza mchezo wa leo



Chanzo: Tanzania