Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NGAOYAJAMII: Hivi hapa vikosi Azam vs Singida FG vinavyoanza mchezo wa leo

E58096c0 5691 46cd 92c8 8549ce336990.jpeg Azam vs Singida Ngao ya Jamii

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu Ngao ya Jamii 2023 unapigwa majira ya saa tisa Alasiri katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Mchezo huo unawakutanisha matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC dhidi ya walima alizeti wa Singida FG.

Azam wameangukia hatua hiyo baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga huku Singida wakipigwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati kutoka kwa Simba SC.

Timu zote zinataka kupata ushindi katika mchezo wa leo angalau kuwapa furaha mashabiki wake hasa baada ya sajili kubwa zilizofanywa na timu hizo.

Hivi hapa vikosi vya timu zote mbili vinavyoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live