Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NGAO YA JAMII: Yanga vs Simba kupigwa kwa Mkapa Agosti 8

Ngao Ya Jamii NGAO YA JAMII: Yanga vs Simba kupigwa kwa Mkapa Agosti 8

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nusu fainali za michuano ya Ngao ya Jamii ikiwa ni ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu mpya 2024/2025 zitapigwa Agosti 8 Dar es Salaam na Zanzibar.

Yanga na Simba zitakutana katika nusu ya pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam wakati Azam itavaana na Coastal Union katika nusu ya kwanza kwenye uwanja wa New Amaan, Zanzibar.

Mchezo wa kusaka mshindi wa tatu utatangulia Agosti 11 kabla ya fainali kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

Ligi Kuu Tanzania Bara imepangwa kuanza Agosti 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live