Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NDAIRAGIJE KUKITANGAZA KIKOSI CHA TAIFA STARS OKTOBA 2,2020

Capture 56.png?fit=877%2C473 NDAIRAGIJE KUKITANGAZA KIKOSI CHA TAIFA STARS OKTOBA 2,2020

Mon, 28 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Etienne Ndairagije anatarajiwa kukitangaza kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Oktoba 2, 2020.

Taifa Stars inajiwinda na mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia la 2022, Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) na Fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) zitakazofanyika mwakani .

story by www.dimbani.co.tz

Chanzo: zanzibar24.co.tz