Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCUPDATES: Mbeya Kwanza vs Yanga, Sokoine pamenoga

Yanga Mbeya Sokoine kumeshapendeza

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zikiwa zimebaki dakika chache kuelekea mtanange wa Ligi kuu baina ya Mbeya Kwanza na Yanga, tayari idadi kubwa ya mashaiki wameshajazana uwanjani kusubiri kipute.

Zikiwa zimebaki dakika chache kuelekea mtanange wa Ligi kuu baina ya Mbeya Kwanza na Yanga, tayari idadi kubwa ya mashaiki wameshajazana uwanjani kusubiri kipute. Yanga inaingia katika mchezo huo akiwa ndio kinara na ndio timu inayopewa nafasi ya kushinda kutokana na uzoefu wao, ubora wa wachezaji walionao nk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live