Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCUPDATES: Half Time, Mbeya Kwanza 0 - Yanga 2

Yangaaa Ht Kikosi cha Yanga, kiko mbele kwa magoli 2-0

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dar Young Africans wanakwenda mapumziko vifua mbele wakiwa na uongozi wa magoli 2-0 dhidi ya wenyeji Mbeya Kwanza.

Magoli ya Yanga yamewekwa wavuni na Ntibazinkiza dakika ya 18 ya mchezo kwa mpira wa adhabu, na Fiston Mayele akimaliza kazi iliyofanya na Fesal Salum "fei toto".

Pengine dakika 45 za kipindi cha pili, Mbeya Kwanza wanaweza kubadili matokeo na kutoa sare ama kushinda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live