Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCPLUPDATES: Half time Prisons 1-2 Simba

Half Time #NBCPLUPDATES: Half time Prisons 1-2 Simba

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa raundi ya nne kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba SC unaendelea katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo hadi mapumziko, Simba wanaongoza kwa goli 2-1.

Mchezo wa raundi ya nne kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba SC unaendelea katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo hadi mapumziko, Simba wanaongoza kwa goli 2-1. Goli la Prisons lilifungwa na Edwin Balua kabla Simba hawajasawazisha kupitia kwa Clatous Chama na kisha John Bocco kutupia la pili dakika ya 46 ya mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live