Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCPLUPDATES: Half time; JKT Tanzania 0 - 1 Simba

Half Term Simba Vs JKT #NBCPLUPDATES: Half time; JKT Tanzania 0 - 1 Simba

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa NBC Primier Ligue kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba unaendelea na sasa ni mapumziko, Simba anaongoza kwa goli 1-0.

Goli hilo limefungwa na Kiungo Mshambuliaji Clatous Chama dakika ya 33 ya mchezo.

Tusubiri kipindi cha pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live