Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCPLHALFTIME: Yanga 2-0 Singida

YANGA NZENGELI.jpeg #NBCPLHALFTIME: Yanga SC 2-0 Singida BS

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC wanaongoza kwa mabao mazuri yaliyowekwa kimiani na Max Nzengeli na mpaka mapumziko, Singida walishachapwa 2-0.

Mechi ipo live ndani ya dimba la Benjamini Mkapa jijini Dar ambapo magoli hayo Max alifunga la kwanza dakika ya 30 na dakika ya 39 ya kipindi cha kwanza.

Huu ni mchezo wa raudi ya saba wa mechi ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023-24. Tusubiri kipindi cha pili tuone ngoma italala hivi hivi au kuna magoli yataongezeka!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live