Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCPL: Half Time: Simba 1-0 Kagera

#NBCPL: Half Time Simba 1 0 Kagera.jpeg #NBCPL: Half Time: Simba 1-0 Kagera

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika ya '42’ Simba SC wamepata penalti baada ya Deus Bukenya kumfanyia rafu Saido Ntibanzokiza ndani ya boksi.

Dakika ya '42’ Simba SC wamepata penalti baada ya Deus Bukenya kumfanyia rafu Saido Ntibanzokiza ndani ya boksi. 43’ GOOOAL Saido Ntibanzokiza anaiandikia Simba SC bao la uongozi dhidi ya Wanankurukumbi katika dimba la Uhuru, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live