Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCPL: Fredy Fungafunga kafunga huko

Ahmed Ally Awatetea Mastraika Simba .jpeg Fredy Fungafunga

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Freddy Koublan tayari ameandika bao lake la pili katika Ligi kuu baada ya kuifungia Simba bao katika mchezo unaoendelea hivi sasa katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga dhidi ya Wagosi wa Kaya Coastal Union.

Dakika 40 za mchezo huo bado hakuna mbabe kwani ubao unasoma 1-1, bao la Coastal Union likifungwa na Lucas Kikoti.

Una maoni, Usisite kutuandikia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live