Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NBCPL: Burudani inaendelea tena leo

Yanga Imara Zaidi.jpeg NBCPL: Burudani inaendelea tena leo

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Oktoba 27, 2023 kwa mechi tatu, kubwa kuliko ni mtanange kati ya Wananchi, Young Africans SC dhidi ya Wakulima wa Alizeti, Singida Fontaine Gate FC utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

Azam FC watakuwa wenyeji wa Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi huku Wajelajela, Tanzania Prisons wakiwa wageni wa Wakusanya Ushindi wa Dar, 'Kinoboys'.

16:00 || KMC FC vs Tanzania Prisons

Uwanja wa Uhuru

18:15 || Yanga SC vs Singida Fountain

Uwanja wa Benjamin Mkapa

20:30 || Azam FC VS Namungo FC

Uwanja wa Chamazi Complex.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: