Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLeague UPDATES: Half Time, Simba 3 - Ruvu Shooting 0

Meddie Kagereee Meddie Kagere akishangilia goli alilofunga dhidi ya Ruvu

Fri, 19 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi Kuu unaoendelea katika Uwanja CCM kirumba Jijini Mwanza umezalisha magoli matatu katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Ni Simba walio chini Mhispania Pablo Franco Martin wanaongoza kwa magoli matatu yaliyofungwa na Meddie Kagere dakika ya 17' na 37'.

Goli la tatu la Simba limefungwa na Kibu Dennis ambae anaifungia klabu yake mpya goli la kwanza msimu huu, akimalizia pasi safi ya Shomari Kapombe.

Simba wamekwenda mapumziko wakiwa kifua mbele kwa idadi ya magoli 3-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live