Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Yanga tayari wawasili Manungu

Makamboo Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo

Wed, 23 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga tayari Kimewasili katika Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro watakaposhuka dimbani muda mchache ujo kuvaana na wenyeji Mtibwa Sugar.

Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa 15, huku Yanga wakiwa kileleni wanaogoza msimamo wa Ligi kwa alama zao 36.

Tazama Kikosi cha Yanga kikiwasili Manungu;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live