Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Yanga 2- Biashara 1

Mayeleeee Yanga wanaongoza magoli 2-1

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Goli la Mkwaju wa penati lililowekwa kimiani na Saido Ntibazonkiza linawapa uongozi Yanga mpaka sasa ikiwa ni dakika ya 80 ya mchezo'

Yanga wanaongoza kwa magoli 2-1 baada ya lile la kusawazisha la Straika hatari Fiston Mayele.

Goli la kuongoza la Biashara United limefungwa na Atupele Green dakika ya pili ya mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live