Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Polisi TZ, Simba hakuna mbabe

Kagere Meddie 14 Mchezo ni Mapumziko huku matokeo yakiwa ni 0-0

Sun, 10 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Ushirika Moshi huku kila timu ikiwa haijafanikiwa kuliona lango la mwenzake.

Polisi Tanzania wamekosa utulivu licha ya kucheza vyema katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Timu zote zinashambuliana kwa zamu licha ya golikipa Beno Kakolanya kuonekana kulilinda vyema lango la Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live