Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Nyota nane Yanga kuwakosa Mtibwa

Nane Yanga Nyota wa Yanga wanaokosekana mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa

Wed, 23 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kitashuka Manungu kuwakabili Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro saa 10:00 jioni.

Yanga watawakosa wachezaji wake nane katika mchezo huo kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo adhabu na majeraha.

Taama hapa chini orodha ya wachezaji watakaokosekana katika mchezo wa leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live