Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Matokeo ya mechi za Leo Disemba 22

Matokeo Matokeo mechi za NBC Ligi, Disemba 22

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michezo miwili ya Ligi Kuu Bara imekamilika ambapo katika mchezo wa kwanza kule Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, umeshuhudia wenyeji Namungo wakikubali kichapo cha magoli 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji.

Katika mchezo mwingine uliopigwa siku ya leo, Kagera Sugar wamepokea kichapo cha magoli 2-0 kutok kwa Mbeya Kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live