Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES:KMC 1- Simba SC 4

Kiku KIBU Simba wanaongoza kwa magoli manne, dakika ya 60 ya mchezo

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika Kibu Denis anazidi kumng'arisha mnyama ndani ya Ali Hassan Mwinyi, Kibu anafunga bao lake la pili katika mchezo huu na la nne kwa upande wa Simba.

Straika Kibu Denis anazidi kumng'arisha mnyama ndani ya Ali Hassan Mwinyi, Kibu anafunga bao lake la pili katika mchezo huu na la nne kwa upande wa Simba. Simba wanazidi kujizatiti kuwafukuza Yanga waliopo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live