Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza mchezo wa leo Azam vs Simba SC

Sakho Vs Azam Dabi ya Mzizima

Thu, 27 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Jiji Azam FC wanaikaribisha Simba SC katika mchezo muhimu wa Ligi Kuu Bara unaokwenda kupigwa muda mchache kutoka sasa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar.

Azam wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbu kumbu mbaya ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya KMC huku Simba wakitoka kupata sare katika mchezo wa Dabi dhidi ya Yanga wikiendi iliyopita.

Rekodi za Azam mbele ya Simba sio za kuridhisha kwani katika michezo 10 ya Ligi iliyopita hajawahi kupata ushindi, akipoteza michezo 5 na kutoa sare michezo 5.

Tazam vikosi vinavyoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live