Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza Simba vs Singida Big Stars

Cover Pic Simba wanashuka dimbani kuikaribisha Singida Big Stars

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kitakuwa mwenyeji mbele ya walima alizeti kutoka Mkoani Singida kikiosi cha Singida Big Stars.

Si,ba wanaingia katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na nia ya kuondoka na alama tatu ili kupunguza pengo la alama baina yao na vinara Timu ya Yanga.

Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa Liti Mkoani Singida.

Tzama vikosi vya timu hizo vinavyoanza katika mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live