Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Namungo

Mayele Kw MKAPA Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele akiwasili katika Dimba la Mkapa

Sat, 23 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) inaendelea leo April 23, kwa michezo mitatu katika viwanja tofauti.

Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Vinara Ligi Kuu, Timu ya Yanga watawakaribisha Namungo FC majira ya saa 1:00 usiku.

Mpaka sasa Yanga wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi wakiwa na alama zao 51 wakishuka dimbani michezo 19, Huku wenyeji wa Kusini wakiwa nafasi ya tatu na alama zao 29 huku wakiweka wazi dhamira yao ya kutaka ubingwa msimu huu.

Tazama kikosi cha Yanga kinachokwenda kuanza katika Mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live