Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Ihefu

Yanga Kikosi VsJKT Yanga watakuwa ugenini dhidi ya wenyeji Ihefu

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga inashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na wenyeji Ihefu Jijini Mbeya.

Mchezo huo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu Bara unapigwa katika Uwanja wa Highland Estate, uwanja ambao una kumbukumbu mbaya kwa Yanga kwani msimu uliopita ulivunjwa mwiko wa kutopoteza mechi za Ligi baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 na kutibua rekodi ya "unbeaten"

Yanga wanashika nafasi ya pili katika jedwali la msimamo wa Ligi wakiwa nyuma ya vinara Azam FC wenye alama 10 baada ya michezo minne huku Yanga wakiwa na alama 9 baada ya michezo mitatu.

Hiki hapa ndio kikosi cha Yanga kinachokwenda kuanza mchezo dhidi ya Ihefu;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: