Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Dodoma Jiji

Yanga Kikosi Leo Kikosi cha Yanga Kinachoanza mchezo vs DOdoma Jiji

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) Yanga wapo ugenini kati Dimba la Jamhuri kuwakabili Dodoma Jiji.

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) Yanga wapo ugenini kati Dimba la Jamhuri kuwakabili Dodoma Jiji. Mchezo huo wa raundi ya 24, ligi Kuu Bara unatabiriwa kuwa wa ushindani kutokana na Yanga kuhitaji zaidi alama 3 baada ya sare mfululizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live