Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Yanga kikiwasili katika Uwanja wa Jamhuri

FSzA6ZlX0AAP7j9 Msafara wa wachezaji wa Yanga wakiwasili Jamhuri

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tyari Yanga wameshawasili katika Uwanja wa Jamhuri tayari kabisa kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya NBC, dhidi ya Dodoma Jiji.

Yanga wanaongoza Ligi wakiwa na alama 57 huku Dodoma wakiwa na alama 28 pekee.

Tazama Yanga wakiingia Uwanja wa Jamhuri;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live