Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji

FNL9JMMWQAI1sQR Simba inaingia Dimbani majira ya saa 1:00 usiku kupambana na Dodoma Jiji

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba SC watashuka dimbani kupambana na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2021/2022.

Simba wanahitaji ushindi angalau kupunguza pengo baina yake na Vinara Yanga waliopo lkileleni kwa tofauti ya alama 11.

Simba leo inakwenda kwenye mchezo huo ikiwa na kumbu kumbu ya ushindi mnono wa magoli 3-0 dhidi Biashara United.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live