Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Geita Gold

Simba Geita Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Geita Gold

Wed, 1 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache ujao katika dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam, mabingwa watetezi Simba SC watawakaribisha wachimba madini wa Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu 2021/2022.

Mchezo huo wa raundi ya saba unapigwa majira ya saa 1:00 usiku, sasa hiki hapa kikosi cha wekundu wa Msimbazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live