Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya KMC

Simba Vs Kmc Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya KMC

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushindwa kucheza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar, leo wako dimbani Kule Mkoani Tabora kukipiga na KMC.

Mchezo huo utakuwa na ushindani kutokana na kila timu kuhitaji ushindi ili kujifanikishia malengo yao.

Hiki hapa Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinachoanza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live