Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Geita Gold kinachoanza dhidi ya Simba SC

Geita Vs Simba Kikosi cha Wachimba dhahabu wa Geita Gold kinachoanza dhidi ya Mnyama Simba

Wed, 1 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Geita Gold baada ya kuweka kumbu kumbu mbaya dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Mkapa, jioni ya leo inaingia uwanjani kupambana na bingwa mtetezi Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi).

Geita Gold baada ya kuweka kumbu kumbu mbaya dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Mkapa, jioni ya leo inaingia uwanjani kupambana na bingwa mtetezi Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi). Mchezo huo ni mchezo wa mzunguko wa Saba kunako NBC Primia Ligi, na Simba wana kila sababu ya kuhakikisha wanatoka na ushindi ili kupunguza pengo baina yake na vinara Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live