Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Prisons

Yanga Vs Prison Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons

Sun, 19 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokana na majeraha yanayokikabili kikosi cha Yanga hii leo kuna mabadiliko kadhaa katika kikosi kinachoanza.

Bryson anaanza kutokana na kukosekana kwa Kibwana Shomari, Mauya akichukua nafasi ya Bangala.

Tazama kikosi kamili hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live