Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Biashara United

Yanga Line Up (600 X 584) Kikosi cha Yanga vs Biashara United

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Bara, Young Africans wanashuka dimbani majira ya saa moja usiku kupambana na wanajeshi wa mpakani timu ya Biashara united.

Yanga wanasaka ushindi kwa kila hali kuhakikisha wanatimiza azm yao ya kubeba ubingwa walioukosa kwa miaka minne mfululizo.

Kwa mara ya kwanza leo Yanga watakuwa na kiungo wao Balama Mapinduzi aliekosekana kwa miezi 17 kutokana na majeraha.

Tazama hapa chini kikosi cha Yanga;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live