Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania

Kikosi Cha Simba Leo Kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo

Sun, 10 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na Polisi Tanzania.

Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi huku Simba wakihitaji alama tatu ili kupunguza wigo wa alama baina yake na Yanga.

Mpaka sasa Simba anazidiwa alama 11 na Yanga, hivyo ushindi katika mchezo wa leo utawafanya kuwa na tofauti ya alama 8 pekee.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live