Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Biashara United vs Yanga

Biashara Line Ups Kikosi cha Biashara United vs Yanga

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Biashara United wanakwenda kuwa wageni wa Vinara wa Ligi Yanga katika Uwanja wa Kumbu kumbu ya Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Biashara wanapamban kuhakikisha wanatibua rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo katika msimu huu Ligi Kuu.

Biashara wanaanza bila kinda wao Denis Nkane, Tazama Kikosi kamili cha wanajeshi wa mpakani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live