Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time' Yanga 2-0 Mtibwa Sugar

Jesu Moloko V Mtibwa Winga wa Yanga, Jesus Moloko akimtoka mchezaji wa Mtibwa

Tue, 13 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar.

Yanga wanakwenda mapumziko wakiwa na uongozi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kutoka Morogoro.

Yanga wametengeneza nafasi nyingi ambazo pengine wangekuwa makini wangekuwa na idadi kubwa ya magoli mpaka sasa.

Mchezo huu umekuwa na matumizi makubwa ya nguvu, huku Ilanfya wa Mtibwa Sugar akicheza madhambi mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live