Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time, Prisons 1- Yanga 2

Makambooo Yanga wanaongoza kwa magoli 2-1

Sun, 19 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Feisal Salum na Daktari wa mpira Khalid Aucho wametosha kuwapa burudani mashabiki wa Yanga kwa dakika 45 za kipindi cha Kwanza.

Kiungo Feisal Salum na Daktari wa mpira Khalid Aucho wametosha kuwapa burudani mashabiki wa Yanga kwa dakika 45 za kipindi cha Kwanza. Tanzania Prisons ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mbangula 12' ya mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live