Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time' Polisi Tz 0-2 Simba

A0739B9A 7823 42A5 8A25 86BBD716157D.jpeg Simba wanakwenda mapumziko wakiwa na uongozi wa mabao 2-0

Sun, 27 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatakata ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Ushirika Moshi dhidi ya wenyeji Polisi Tz.

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatakata ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Ushirika Moshi dhidi ya wenyeji Polisi Tz. Simba wanaongoza kwa magoli 2-0 yaliyowekwa wavuni na Nahosha John Rafael Bocco na Moses Phiri akimaliza kwa umaridadi pasi ya kiungo wa Kimataifa wa Zambia Clatous Chama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live