Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time, Mtibwa 0 - Simba 0

Mtibwa Vs Simba Mchezo ni Mapumziko, Mtibwa 0 - Simba 0

Sat, 22 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 zimekamilika huku kukiwa hakuna mbabe baina ya washindani hawa wawili, lakini pia majaribio kwa walinda milango yakiwa machache sana.

Simba wamefanya jaribio moja tu lililolenga goli , huku mtibwa wakifanya majaribio matatu.

Kipindi cha Pili kinaanza kwa Simba kufanya mabadiliko ya kuwaingiza Chama na Bernard Morrison.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live