Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time, Mayele aitanguliza Yanga kwa Mkapa

Yanga Dom Jiji Kipindi cha kwanza Yanga wanaongoza kwa Goli 1-0 lililofungwa na Mayele

Fri, 31 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zimekamilika katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, huku Yanga wakitoka kifua mbele kwa uongozi wa goli 1-0.

Goli la Yanga limefunmgwa na Straika Fiston Mayele baada ya kukosa nafasi kadhaa za magoli.

Saido Ntibazonkiza pia amepoteza nafasi kadhaa ambazo zingeweza kuwa nafasi ya kujiandikia magoli.

Kwa kipindi cha kwanza tu Yanga wameongoza kwa kuchezea mpira kwa asilimia 80 dhidi ya Dodoma Jiji wenye asilimia 20

Chanzo: www.tanzaniaweb.live