Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time' Dodoma Jiji 0-2 Yanga

Zawadi Mauya Jamhuri Mchezo ni mapumziko na Yanga wanaongoza 2-0

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zinatamatika katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma huku Yanga wakienda mapumziko kifua mbele kwa Uongozi wa magoli 2-0.

Magoli mawili ya Dickson Ambundo na Zawadi Mauya yametosha kuwapa Yanga furaha baada ya kushindwa kufanya hivyo katika michezo yake mitatu iliyopita.

Kipindi cha pili walimu watarudi na mbinu gani kuhakikisha wanaibuka na alama tatu kwa kila timu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live