Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time' Azam FC 1 - Dodoma Jiji 0

Ht Azam Azam wanakwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0

Fri, 4 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zimekamilika katika Uwanja wa Azam Complex, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ni Azam FC wanaokwenda kifua mbele wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0 lililofungwa dakika ya tano na Rodgers Kola.

Ibrahim Ajib anaonekana kufanya kazi kubwa katika mchezo wa leo, huku Dodoma Jiji wakijaribu kushambulia kwa kushtukiza ili waweze kusawazisha goli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live