Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Half Time, Azam 1-0 Simba, Dube awatanguliza Azam

Azam Vs Simba HT Mchezo ni mapumziko, Azam 1-0 Simba

Thu, 27 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku wenyeji Azam FC wakienda mapumziko wakiwa kifua mbele.

Azam wanaondoka na uongozi wa bao 1-0 lililopachikwa na Prince Dube ambae ameonekana kupata bao baada ya kipindi kirefu kupita.

Simba wametengeneza nafasi kadhaa lakini wameshindwa kuzitumia vyema huku Erasto Nyoni akionekana kufanya makosa katika eneo la beki wa pembeni analocheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live