Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: FT, Yanga 2 - Biashara United 1

Khalid Aucho Yanga Yanga yaibuka na ushindi dhidi ya Biashara

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Magoli mawili ya Fiston Mayele kipindi cha kwanza na Saido Ntibazonkiza yanawahakikishia Yanga kuondoka na alama tatu kwa Mkapa Dar es Salaam.

Ushindi huo wa magoli 2-0 dhidi ya Biashara unawafanya Yanga kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara 2021/2022.

Goli la Biashara katika mchezo wa leo limefungwa na Atupele Green dakika ya pili kipindi cha kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live