Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: FT' Simba 2 - Dodoma Jiji 0

SIMBA FT 5 Simba imeibuka na ushindi wa Magoli 2-0

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 90 zinakamilika katika Dimba la Benjamin Mkapa, kwa Simba kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Magoli ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Kiungo Clatous Chama 57 kwa mkwaju wa penati na Meddie Kagere dakika ya 75.

Ushindi huo unaifanya Simba Simba kufukisha alama 37 baada ya kucheza michezo 17 wakiendelea kubaki katika nafasi ya Pili.

Pengo la alama baina ya Kinara wa Ligi Yanga na mtu anaemfuata ni alama nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live