Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NBCLIGIUPDATES: FT Kagera Sugar 0 - Prisons 1

Kagera Sugar Kagera Sugar yakubali kichapo nyumbani

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022 umemalizika katika dimba la Kaitaba kwa wageni Tanzania Prisonds kuibuka na ushindi mwembamba.

Ushindi huo wa goli 1-0 unapunguza mfululizo wa matokeo mabaya kwa Prisons ambao mwendo wao sio wa kuridhisha msimu huu.

Goli hilo pekee la ushindi limefungwa na Marco Mhilu dakika ya 78 ya mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live