Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: FT, KMC 1- Simba SC 4

FHYYziBWQAUYg N Simba yaigaragaza KMC goli 4-1

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, wameibuka na ushindi mnono wa Magoli 4-1 dhidi ya KMC katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Mohammed Hussein, Joash Onyango na Kibu Denis aliefunga magili mawili.

Simba kwa sasa inakamata nafasi ya pili nyuma ya Vinara wa msimamo timu ya Wananchi Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live