Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 80' Simba 4-0 Mtibwa Sugar

Okrah X Phiri.jpeg Wafungaji wa Magoli ya Simba wakipongezana

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mambo yanazidi kutakata kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba mbele ya wageni Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Augustine Okrah na Moses Phiri wanaipa Simba uongozi wa magoli 4-0 huku kwa mara nyingine Mtibwa Sugar wakishuhudia kadi nyekundu ya pili kwa upande wao.

Cassian Ponera anaoneshwa kadi nyekundu na kuwafanya Mtibwa kucheza wachezaji nane Uwanjani huku mlinda mlango akiwa mtu wa 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live