Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 80' Simba 2 - Dodoma Jiji 0

Meddie Kagere Medie Med Mfungaji wa goli la 2 la Simba

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mambo yanazidi kunoga katika Dimba la Mkapa,Jijini Dar es Salaam mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Meddie Kagere anaiandikia Simba bao la Pili na kuwafanya Simba kujiamini baada ya kucheza kwa presha kwa muda mrefu.

Mpaka sasa ni dakika ya 85, Simba wanaogoza kwa magoli 2, Dodoma Jiji wakiwa hawajapata kitu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live