Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 64' Singida 1-1 Simba

Sakho Sakho Mchezo ni dakika ya 65 matokeo yakiwa 1-1

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanarudi mchezoni katika Uwanja wa Liti Mkoani Singida mchezo wa Ligi Kuu kwa bao la Peter Banda alieingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Jonas Mkude.

Simba wanarudi mchezoni katika Uwanja wa Liti Mkoani Singida mchezo wa Ligi Kuu kwa bao la Peter Banda alieingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Jonas Mkude. Simba wanapeleka mashhambulizi langoni mwa Singida tangu kuanza kwa kipindi cha pili jambo linaloonesha kuwa mabadiliko ya kuingia Banda yameleta uhai.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live